Sauti Sol - Unconditionally Bae Ft. Ali Kiba Lyrics

Unconditionally Bae

Sauti Sol

Feat: Ali Kiba
Single
959 0 0
Sauti Sol Unconditionally Bae Ft. Ali Kiba lyrics;

About Unconditionally Bae

Edit
Nothing yet. Click Edit to add something.

Sauti Sol Unconditionally Bae Lyrics

Correct Lyrics
[Sauti Sol Ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae lyrics]
We all need love
We all need affection
And the way that you're looking at me
I can feel a connection
Unanibamba baby, kwanza unavyochekecha
Kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega

Juu sikuizi madem wanapenda doh
Na machali pia tunazo drama
Ya dunia ni mengi sana, no commitiment mama
So nipe nafasi
Nikupe mapenzi yangu ya kiluhya
Hallelujah

We all need love
Nakupenda
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone
Nakupenda
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae

[Alikiba:]
We all need love
Me I need a wife, wa kuishi na yeye
Fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa
Jina langu Ali, sasa lazima nilee
Nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima
And I belie-eeeve, nitakuwa nawewe
Mwanzo mpaka mwisho
And I belie-eeeve, baibe

We all need love
Nakupenda
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone
Nakupenda
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
...

Ali
(Bumaye)
Sauti Sol
(Bumaye)
East Africa
(Bumaye)
Tanzania Kenya
(Bumaye)
Kigali
(Bumaye)
Bujumbura
(Bumaye)
Kampala
(Bumaye)
Kinsasha
Bumaye
Sauti Sol Unconditionally Bae lyrics Ft. Ali Kiba
Share Sauti Sol Unconditionally Bae lyrics
;

What do you think about this song?

Hint: Nig_r_a
Sauti Sol Unconditionally Bae Music Video

Other Songs By Sauti Sol

Show all Songs by Sauti Sol, A-Z

Other Top Songs