RayVanny - Mwanza Ft. Diamond Platnumz Lyrics

Mwanza

RayVanny

Single
1,620 0 0
RayVanny Mwanza Ft. Diamond Platnumz lyrics

About Mwanza

Edit
Nothing yet. Click Edit to add something.

RayVanny Mwanza Lyrics

Correct Lyrics
[RayVanny Ft. Diamond Platnumz - Mwanza lyrics]
Vanny Boy…. Ehh Vanny boy. Ehe. They are not ready for this [CHORUS] Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi [VERSE 1] Oya wind your waist Njoo nipatie taekwondo Nikupe cha mkwesi Kwa miuno ya taekwondo Asa chekele Mwendo wa kandanda Ndani ya makwanda Sa nisongeze Leta msambwanda Nikazie ngangangaaa (chiii!) Kananivuta ghetto Nkapinge bunduki (High bunduki) Ile naogopa central Michezo ya Amber Rutty (Amber Rutty) [CHORUS] Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi [VERSE 2] Yaani kama mjaluo Shepu ya Mombasa Hapendagi mpasuo Hata akishinda basata Tepe tepe mtoto kama supu teke teke (kongoro) Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke (Ndombolo) Shaku shaku ya masai (Oooh masai) Kama kama nachuma papai (Oooh papai) Funika funua (twendee) Bandika bandua (twendee) Anika anua (twendee) Kanipa chukua (twendee) [CHORUS] Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi Oya fiti kalikiti ti katoto hakashikiki kwenye bilingiti ti Huvunjaja na kiti (oya!) Oooh sa iweke Ah iweke iweke… Ah iweke Ipitishe kwa chini Ah iweke iweke… Ah iweke Miendo ya kazi kazini Ah iweke iweke… Ah iweke Hii ile ndindindii Ah iweke iweke… Ah iweke Ngoja shake it ivoo Ah iweke iweke… Ah iweke Twende shaku kidogo Ah iweke iweke… Ah iweke Chuma magimbimbi Ah iweke iweke… Ah iweke
RayVanny Mwanza lyrics Ft. Diamond Platnumz
Share RayVanny Mwanza lyrics

What do you think about this song?

Hint: Nig_r_a
RayVanny Mwanza Music Video

Revisions


Other Songs By RayVanny

Show all Songs by RayVanny, A-Z

Other Top Songs