Is This Abdul - Wacha Kunipima  Lyrics

Wacha Kunipima

Is This Abdul

Single
357 0 0
Is This Abdul Wacha Kunipima lyrics

Known for his first debut single 'Wacha Kunipima' and 'Nitakupeleka London', Abdulrashid Samir. (born 11 June 1999), better known as Is This Abdul, is a Kenyan record producer, songwriter and rapper....

About Wacha Kunipima

Edit
This marks the first single from Is This Abdul music career. He talks about his daily interaction with people, fake friends and hustle

Is This Abdul Wacha Kunipima Lyrics

Correct Lyrics
[Is This Abdul - Wacha Kunipima lyrics]
[Intro: Is This Abdul & Addy]

Turn me up turn me up!
Turn me up mahnnn
Turn me up turn me up
Yoh!
(Abdulisthatyou)

[Verse 1]
Yoh!
Juzi nilikuwa grao(grao), nikafunga bao tano
Zilikuwa kama tano(tano), nikasikia mrao
Nikapanda city shuttle(shuttle), nikaenda tu tao
Vile nilifika tao(tao), nikapata sina mask
Polisi wakinishika(shika), wakanipiga ngoto tano
Wakaniuliza ukona ngapi(ngapi), nikawaambia nikona 22 years
Mmoja akanipiga ngoto, zingine tano(tano)
Manze nilipelekwa ndani(ndani), nikakaa mpaka usiku
Nilikuwa na bandana kwa kichwa(kichwa), na nyong'inyo za moncler
Nikakumbuka Eid Mubarak, nilikula githeri na nyama(nyama)

[Chorus]
Ayyy ayyy ayyy ayyy(ayyy)
Uliongea mbaya ukakuja na mbogi(mbogi), mi nakuja na madogi
Simba ya black na Rex ya brown, na white inaitwa Atoti(toti)
Ayyy ayyy ayyy(ayyy)

[Verse 2]

Ni Abdul kwenye bass anapiga kelele(kelele), na nakula peremende
Nishaipata mende ndani ya mchele(chele), nikaimeza na maji ya sembe
Anataka nimpeleke date na ndege(ndege), na sina hata fifty
Mkona propaganda, kasheshe(sheshe) nitawapiga mateke
Ushaikula githeri na Ovacado(cado), supu ya omena na ugali na chapo(chapo)
Kuna time pedi wa mutura, alienda ushago
Nikakaa wiki kadhaa(kadhaa), bila kula mutura
I swear nilikuwa mgonjwa(gonjwa), nikashikwa na trauma
Nikaenda hospitali(tali), kuongezwa flava ya mutura
Jamaa wa mutura kutoka tu ushago(shago), akafungua biashara
Alikuwa anakata ya 10 10(ten ten), mpaka ikafika thao(thao)
Vile hiyo thao iliisha, nikaamua ni rent
Usiku kwenda kejani, nikapata caretaker
Nikajaribu kusmile, akaongeza kifuli kwa mlango
Nikapita kwa dirisha, joh mi siwezi lala nje
Asubuhi tu ikafika, nikapata mabati mbili hakuna
Ayyy ayyy(ayyy)
Nakula mahindi na supu ya mchele, wabebe wabebe
Ayyy ayyy
Wabebe
Is This Abdul Wacha Kunipima lyrics
Share Is This Abdul Wacha Kunipima lyrics

What do you think about this song?

Hint: Nig_r_a
Is This Abdul Wacha Kunipima Music Video

Other Songs By Is This Abdul

Show all Songs by Is This Abdul, A-Z

Other Top Songs