Sauti Sol - Tujiangalie Ft. Nyashinski Lyrics

Tujiangalie

Sauti Sol

Album: Afrikan Sauce
1,206 0 0
Sauti Sol Tujiangalie Ft. Nyashinski lyrics

About Tujiangalie

Edit
Nothing yet. Click Edit to add something.

Sauti Sol Tujiangalie Lyrics

Correct Lyrics
[Sauti Sol Ft. Nyashinski - Tujiangalie lyrics]
Barua Toka Jaramogi na kenyatta
Wanauliza kama Kenya kuko sawa
Nikawajibu Kenya tuko na disaster
Watoto wetu wanazidi kuzikana
Na Tom Mboya ameshika tama
Alituacha kama angali kijana
Je angekuwa mambo
Yangekua sawa?
Ndivyo Alivyopanga Maulana
Deni Mlizowacha bado tunalipa (tunalipa)
Na tumekopa zingine China
Tukajenga reli pia barabara
Zilizobaki watu wakasanya

So tujiangalie (tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie (tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufa tutajenga kuta
Tusake Zetu
Tungali vijana

Waumini kwa mathree na passie kwa bimmer
Kushoto fungu la kumi
Sadaka kulia
Ndio maana mbele ya kanisa mheshimiwa
Anakula sacramenti
Kabla ya raia
Siku za mwisho zimeshawadia
Na Revelation inatuambia
Hii generation inachoma picha
Ni generation yetu

So tujiangalie (tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie (tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
Tusake Zetu
Tungali vijana

Michuki alisema tufungeni mikanda
Ona leo twavuna tulichopanda
Kura zetu zilitugawanya
Makabila na pesa pia tulimanga
So when you make your bed oh
You lie on it oh!
Usingizi gani tumelala?
Tutajua hatujui
Vision 2030 itabaki ni story

Tujiangalie (tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie (tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufa tutajenga kuta
Tusake Zetu
Tungali vijana

[Nyashinski:]
Mdosi aliniambia
Freedom never comes for free
We vote tribe, ama real cash, ask Boni
Tuna roll mahali hamwezi
Ita GSU plus doggy
World mzima Twitter
KOT ndio first body
Burn picha si ni waafrika
Black coffee (Annan)
I'm richer than my neighbor but we both in the slum
If the rich always win then
Why should the popular run?
Unless democracy ni word si usema
Only for fun

Tujiangalie (tujiangalie)
Uh, na hii weekend tuko Church
Tunauza sura kabisa
Post ya haga
Huenda poa sana na
Caption ya scripture
Kaa hiyo ndio gospel
Pitisha bag ya sadaka kwa club
Tujiangalie (tujiangalie)
Uh, traffic madrug ubuy ndai
Traffic mandai zina drag
Ku admire mwizi amemake it
Story za shamba wamegrab
Mkono inahonga imevaa
Bracelet ya colors za flag
Yeah!
Sauti Sol Tujiangalie lyrics Ft. Nyashinski
Share Sauti Sol Tujiangalie lyrics

What do you think about this song?

Hint: Nig_r_a
Sauti Sol Tujiangalie Music Video

Other Songs By Sauti Sol

Show all Songs by Sauti Sol, A-Z

Other Top Songs